IJASO

IJASO
..

Friday, February 21, 2014

TANGAZO


Tume ya mabadiliko ya katiba ijaso Inawatangazia wanaijaso kuwa maoni ya katiba ya naendelea kukusanywa kwa njia mbalimbali

1.kutumia sms kwa nambari ya simu 0788855219 ni message tu

2.kutumia group ya Facebook "tume huru ya katiba ijaso" hii ni open group

3.kutumia email address (tumekatibampyaijaso@gmail.com)

4.kwa wale ambao wanataka kutuma document wanaweza kwa kutuma kwa email iliyotajwa hapo juu au kwa kumpa mwakilishi wa darasa lako


5.tunapokea maoni kwa maandishi 


Na
Maoni yatasomwa na kujadiliwa kwenye midahalo itakayo endelea kwenye campus zote mbili baada ya kufungua chuo
NB: njia hizi za ukusanyaji wa maoni ni kwa wanafunzi wa ija lushoto na ija mwanza.



Imetolewa na:
M/kiti wa tume ya katiba
Mbuya Glory,

No comments:

Post a Comment