IJASO

IJASO
..

Friday, February 21, 2014

TANGAZO


Tume ya mabadiliko ya katiba ijaso Inawatangazia wanaijaso kuwa maoni ya katiba ya naendelea kukusanywa kwa njia mbalimbali

1.kutumia sms kwa nambari ya simu 0788855219 ni message tu

2.kutumia group ya Facebook "tume huru ya katiba ijaso" hii ni open group

3.kutumia email address (tumekatibampyaijaso@gmail.com)

4.kwa wale ambao wanataka kutuma document wanaweza kwa kutuma kwa email iliyotajwa hapo juu au kwa kumpa mwakilishi wa darasa lako


5.tunapokea maoni kwa maandishi 


Na
Maoni yatasomwa na kujadiliwa kwenye midahalo itakayo endelea kwenye campus zote mbili baada ya kufungua chuo
NB: njia hizi za ukusanyaji wa maoni ni kwa wanafunzi wa ija lushoto na ija mwanza.



Imetolewa na:
M/kiti wa tume ya katiba
Mbuya Glory,

Friday, February 7, 2014

PIC OF THE DAY!
MWENYEKITI WA TUME YA KATIBA MPYA -IJASO, Ms. GLORY MSUYA, MBUNGE ANAYEWAKILISHA DL II Mh. CREOPAS , WANAFUNZI WENGINE WA DL II, MARYGLORY MMARI, ANITHA FRED WAKIWA KATIKA POZI, KWENYE LANGO KUU LA KUINGIA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA --LUSHOTO.

Sunday, January 26, 2014

USIKU WA TAREHE 25/01/2014 HAPA IJA.

ULIKUWA USIKU WA KUTOA ZAWADI KWA TIMU ZILIZOSHINDA MASHINDANO YA INTER-CLASSES COMPETITION 2014, LAKINI SIO ZAWADI TU BALI ULIKUWA USIKU WA KUFURAHI! MPAKA CHWEEE..
 WACHEZAJI WA VOLLEYBALL DL II WAKICHUKUA ZAWADI KUTOKA KWA MGENI RASMI.
 MWAKILISHI WA WACHEZAJI WA BASKETBALL DL II, AKICHUKUA ZAWADI YA WASHINDI WA MICHUANO YA INTER-CLASSES COMPETITION, KAMA WASHINDI UPANDE WA BASKETBALL.
 CAPTAIN WA TIMU YA SOKA YA DL II 'ZINGO' AKICHUKUA ZAWADI KWA NIABA YA WACHEZAJI WENZAKE.#TEAMDLII
HAPPY MOMENT: CAPTAIN WA DL II 'ZINGO' AKIWA KATIKA HALI YA FURAHA MARA BAADA YA KUPOKEA ZAWADI.
WACHEZAJI WA NETBALL 'COMBINE' WAKIWA MEZA KUU KUCHUKUA ZAWADI ZAO. HONGERENI DL I.


RAIS WA IJASO. Mh. ERICK DANIEL AKIWA NA REFEREE ALIYECHEZESHA MCHEZO WA FAINALI YA MPIRA WA MIGUU, MCHEZO ULIOKUWA KATI YA DL II DHIDI YA DL I
TAZAMA VETERANS WA DL II WALIVYOWAADABISHA WADOGO ZAO DL I.

 RAHA YA USHINDI NA UZUNI YA KUFUNGWA: MASHABIKI NA WACHEZAJI  WA DL II WAKIMBEZA KWA KEJERI MCHEZAJI WA DL I.
      PICHA: DL II WAKISHANGILIA USHINDI WALIPATA DHIDI YA DL I

Saturday, January 25, 2014

WASHINDI MASHINDANO YA INTER-CLASSES COMPETITION!!

VOLLEYBALL - DL II
BASKETBALL - DL II
NETBALL- DL I

BASKETBALL: DLII WAICHAPA DL I



MATUKIO KATIKA PICHA: ANGALIA MASHABIKI WALIOJITOKEZA KATIKA FAINALI ZA INTER-CLASSES IJA!!
WADAU WA FOOTBALL NAO WALIKUWEPO KUSUPPORT MICHEZO MINGINE.

KUTOKA KUSHOTO: Mr. G. Barnoba, Mlezi wa Wanachuo, Chuo Cha Uongozi wa Mahakama- Lushoto, akifuatilia kwa Makini Fainali za Inter- Classes Competition Katika Viwanja vya Basketball - IJA, Anayemfuata ni Mwanachuo wa DL 1 Wakiwa pamoja na Mh. GOODLUCK KIMAMBO, Waziri Mkuu - IJASO!!


INTER-CLASSES COMPETITION!
TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA NA MATOKEO HAPA!
 

MECHI ZILIZOIKWISHA MALIZIKA MPAKA SASA
NETBALL DL I MAGOLI 22 DL II MAGOLI 19
VOLLEYBALL DL II SET 3 CERTIFICATE SET 1





Friday, January 3, 2014

IJASO'S NEW SAMSUNG DIGITAL CAMERA

16.1 MEGA PIXELS
25mm WIDE-ANGLE LENS
5X OPTICAL ZOOM
F2.5 BRIGHT LENS
OIS OPTICAL IMAGE STABILIZATION
3.0;; hVGA LCD

Friday, December 6, 2013


MAHAFALI: PICHA ZA MAANDAMANO YA KITAALUMA YA KUFUNGUA MAHAFALI YA 13 YA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA -LUSHOTO.





MARAIS WA IJASO WAKIWA KATIKA MSAFARA WA MAANDAMANO  YA KUFUNGUA MAHAFALI YA 13 YA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA - LUSHOTO.





 CHUKUA MUDA WAKO KUANGALIA PICHA ZA PAMOJA ZA VIONGOZI WA IJASO WA MWANZA CAMPUS, NA MAIN CAMPUS WALIPOKUTANA TAREHE 06/12/2013 IJA-LUSHOTO KATIKA MAHAFALI YA 13 YA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA-LUSHOTO.


 KUTOKA KUSHOTO: WAZIRI WA HABARI, WAZIRI MKUU, RAIS IJASO-MAIN CAMPUS, RAIS IJASO -MWANZA CAMPUS.
 KUTOKA KUSHOTO: WAZIRI WA HABARI NA MAMBO YA NJE, RAIS IJASO -LUSHOTO, RAIS IJASO - MWANZA CAMPUS, WAZIRI WA FEDHA , WAZIRI MUU NA KATIBU OFISI YA RAIS.

JOPO LA VIONGOZI LA IJASO WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA MAENEO YA LECTURE THEATERS -IJA -LUSHOTO.
HABARI KATIKA PICHA: ANGALIA PICHA ZA VIONGOZI WA IJASO WA MWANZA NA LUSHOTOWALIPOKUTANA IJA-MAIN CAMPUS -LUSHOTO.

T
 KUTOKA KUSHOTO RAIS WA IJASO-(IJA MAIN CAMPUS) Mh. Erick Daniel, Rais IJASO (MWANZA CAMPUS) Mh. Edwin, Waziri Mkuu (IJA-MAIN CAMPUS) Mh. Goodluck Kimambo, na Waziri Mkuu (IJA-MWANZA CAMPUS) Mh. Tarimo.

Sunday, November 17, 2013

WAZIRI WA HABARI NA MAMBO YA NJE Mh. Gaston Katindila AKIZUNGUMZIA JUU YA UZINDUZI WA BLOGSITE YA IJASO AMBAYO MUDA MFUPI ILIZINDULIWA NA MKURUGENZI WA MAFUNZO IJA NA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE ZA KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WAPYA IJA-LUSHOTO, Blog hiyo itatambulika kama  - www.ijaso.blogspot.com

WASHINDI WA MICHEZO YA NETBALL, VOLLEYBALLY, BASKETBALL, FOOTBALL NA POOLTABLE WAKIPOKEA ZAWADI ZAO KUTOKA KWA MGENI RASMI:






HAHAHAHAHAH! WASHINDI WALITAKA HESABU IKAWE SAWASWA : ZINGO UMETISHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!! SAFI!
MTIKISA JUKWAAA ALIKUWA HUYU: HAKUNA KAMA YEYE!

HAWA NDIO WALIKUWA MAJAJI KWA UPANDE WA MODELING:

ANGALIA PICHA 8 ZA IJA SUPER MODELS WAKIWA BACKSTAGE: ILIKUA NI KUJIREMBA, NA MAPOZI YA PICHA KIDOGO








NA HUYU NDIYEEEEEEEEE IJA SUPER MODEL A.K.A MISS IJA!