IJASO

IJASO
..

Sunday, January 26, 2014

USIKU WA TAREHE 25/01/2014 HAPA IJA.

ULIKUWA USIKU WA KUTOA ZAWADI KWA TIMU ZILIZOSHINDA MASHINDANO YA INTER-CLASSES COMPETITION 2014, LAKINI SIO ZAWADI TU BALI ULIKUWA USIKU WA KUFURAHI! MPAKA CHWEEE..
 WACHEZAJI WA VOLLEYBALL DL II WAKICHUKUA ZAWADI KUTOKA KWA MGENI RASMI.
 MWAKILISHI WA WACHEZAJI WA BASKETBALL DL II, AKICHUKUA ZAWADI YA WASHINDI WA MICHUANO YA INTER-CLASSES COMPETITION, KAMA WASHINDI UPANDE WA BASKETBALL.
 CAPTAIN WA TIMU YA SOKA YA DL II 'ZINGO' AKICHUKUA ZAWADI KWA NIABA YA WACHEZAJI WENZAKE.#TEAMDLII
HAPPY MOMENT: CAPTAIN WA DL II 'ZINGO' AKIWA KATIKA HALI YA FURAHA MARA BAADA YA KUPOKEA ZAWADI.
WACHEZAJI WA NETBALL 'COMBINE' WAKIWA MEZA KUU KUCHUKUA ZAWADI ZAO. HONGERENI DL I.

No comments:

Post a Comment