IJASO

IJASO
..

Sunday, November 17, 2013

PICHA 15 ZA MATUKIO YA WANAFUNZI KTK SHEREHE YA TAREHE 16/11/2013: WANAFUNZI WA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAM LUSHOTO - IJA WAKIFUATILIA KWA MAKINI MATUKIO YA SHEREHE ZA KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA -IJA , PICHA ZINGINE WANAONEKANA WAKIPATA CHAKULA (BITES) NA VINYWAJI.


SHEREHE HIYO ILIOANDALIWA NA SERIKALI YA WANAFUNZI IJA, PAMOJA NA MAMBO MENGINE WANAFUNZI WALIPATA KUONESHA VIPAJI VYAO KAMA INAVYOONEKANA KATIKA PICHA ZA HAPO JUU!. ... ENDELEA KUSHUKA KUANGALIA MATUKIO ZAIDI YA IJASO. 














No comments:

Post a Comment