IJASO

IJASO
..

Sunday, November 17, 2013

 HABARI KATIKAPICHA: WAZIRI WA ULINZI NA MAADILI-(IJASO) Mh. WITNESS (Kushoto) AKIWA NA NAIBU WAZIRI WA ELIMU, KATIBU NA SHERIA, Mh. HECHE WAKIFUATILIA KWA MAKINI MATUKIO YALIYOJIRI KATIKA SHEREHE YA KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA WA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA - LUSHOTO, 16/11/2013. SHEREHE HIYO ILIANDALIWA NA SERIKALI YA WANAFUNZI IJA.
 KUTOKA KUSHOTO NI KATIBU OFISI YA RAIS, Mh. ZUHURA, KATIBU WA WAZIRI MKUU Mh. DIANA , PAMOJA NA WAZIRI WA FEDHA, MIPANGO NA UCHUMI Mh. BENEDICTO MBOYA WAKIFUATILIA KWA MAKINI MATUKIO YA SHEREHE YA KUWAKARIBISHA WANAFUNZI MWAKA WA KWANZA-IJA.
KUTOKA KUSHOTO, MAKAMU WA RAIS Mh. OSCAR BAGANDA, WAZIRI MKUU GOODLUCK KIMAMBO, SPIKA WA BUNGE - ISRC Mh. JAMALY SAID PAMOJA NA NAIBU WAKE.

No comments:

Post a Comment